iqna

IQNA

haki za binadamu
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kiislamu yenye makao yake London (IHRC) amekosoa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa undumilakuwili wake linapokuja suala la kushtaki wahusika wa uhalifu wa kivita.
Habari ID: 3478050    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/17

Jinai za Israel
IQNA- Mwanaharakati wa haki za binadamu mwenye makao yake mjini London, Uingereza anasema jibu la nchi za Magharibi kwa mauaji ya kimbari yanayoendelea kutekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza kwa mara nyingine tena limefichua "uongo" wao kuhusu kujali haki za binadamu .
Habari ID: 3478015    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/10

Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya kikao hivi karibuni cha kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3477587    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12

Hali ya Bahrain
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani.
Habari ID: 3476019    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Mkuu wa Idara ya Mahakama Iran
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam wal Muslimin Gholamhossein Mohseni-Ejei, Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, amekosoa utendakazi wa wale wanaodai kutetea haki za binadamu na kusema: Wanaodai kutetea haki za binadamu huko Magharibi hawawezi hata kueleza maana ya mwanadamu kwa njia sahihi.
Habari ID: 3475579    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04

Haki za Binadamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, tuzo ya saba ya mkutano wa kila mwaka wa Haki za Binadamu za Kiislamu atatunukiwa mwandishi wa habari Shahidi Shireen Abu Akleh na Mandla Mandela mpigavita ubaguzi wa rangi wa Apathaidi katika kuwaunga mkono watu wa Palestina.
Habari ID: 3475573    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/03

Mshauri wa Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini amesema kuna haja ya kuwafahaisha vijana utambulisho halisi wa Marekani ambayo inatenda jinai lakini inadai kutetea haki za binadamu .
Habari ID: 3475459    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/04

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Timu ya ngazi ya juu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imesema hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kuwafanyia Wapalestina vitendo vya kibaguzi ndio sababu kuu ya kushuhudiwa mawimbi ya ghasia zisizokwisha katika ardhi hizo zilizoghusubiwa.
Habari ID: 3475354    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09

Afisa wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran katika Masuala ya Kimataifa ameitaja hatua ya Marekani ya kumuua kigaidi Kamanda Qasem Soleimani kuwa ni sawa na mauaji ya haki za binadamu duniani.
Habari ID: 3474757    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesiistiza ulazima wa kuuwajibisha utawala haramu wa Israeli kwa uhalifu wake dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3474141    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/30

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini Bahrain amewataka watawala wa nchi hiyo kuwaachilia huru mara moja wafungwa wote wa kisiasa nchini humo.
Habari ID: 3474109    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/17

TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu azimio dhidi ya Iran lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, nchi zinazokanyaga haki za mataifa ya dunia hazina ustahiki wa kuzungumzia haki za binadamu .
Habari ID: 3473759    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/25

Katika kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain, wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa wamemtia mbaroni Nabil Rajab, mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini humo.
Habari ID: 3470381    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/13